Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iwe katika hali nzuri ( Haijawai kupata ajari, Ac iwe inafanya kazi n.k). Bajeti yangu tshs 5mil. Ikiwa unayo piga simu 0784225000 au 0717114409.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtaa wa kizingo jirani na bar ya neiba ndogo, vyumba 4 sebule na toilets, bei laki mbili. kwa maelezo zaidi piga namba 0717778556 mwenye nyumba.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iwe maeneo ya Masaki au Osterbay.Iwe na vyumba vinne Isiwe katika gorofa lenye msongamano wa aprtments nyingi.Bajeti USD 250,000/ Kwa mawasiliano piga simu 0784225000
0 Reactions
1 Replies
984 Views
inauzwa hii simu ipo fresh Haina camera lakini ni nzuri kwa kutuma emails na ina local area connection... u can google it for more information bei 300,000 cash contacts:send me a pvt...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Naombeni msaada na mnishauri, Nataka Kununua Gari ktk Survey yangu nimekuta gari mbili, Ya kwanza CIF 6790 ni gari ya Mwaka 1998 Ya pili ni CIF USD 9800 ni gari ya mwaka 2002...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pikipiki aina ya YAMAHA XT cc250 nimefunga Engene ya Honda cc250.inahali nzuri kabisa.Bei Tsh1800,000/-
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ninauza kiwanja changu kipo madale ni robo heka kimezungushiwa michongoma ni karibu na kwa Kawawa kinafikika kiurahisi lakini hakijapimwa bei milioni 5.5 kuna mazungumzo nauza kwa sababu nina...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna plots takriban 20 ziko sokoni na nyumba moja ya ghorofa vinauzwa Dar kama ifuatavyo:- 1. Viwanja vya makazi 20 viko Madale kwa Kawawa (vina offer); bei ni kuanzia Tsh 5-50 million 2. 1...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wanajamii nina shida ya nyumba au kiwanja ambacho kinauzwa maeneo ya sahare tanga mjini kwa yoyote mwenye info au yeye mwenyewe anauza please ni PM.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wale wataalam wa ku import magari kutoka japan/dubai nikihitaji escudo used from japana or dubai itanicost how much hadi kuwa barabarani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba iliyopo Mbezi Luisi njia ya kuelekea Mpiji Magoeinapangishwa. Nyumba hiyo ipo karibu na Sekondari ya Mbezi kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba yenyewe ina sebule, chumba cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ee Bwana uyasikilize maneno yangu, ukaangalie kutafakari kwangu.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nauza LG GW 305 mobile kwa bei nzuri kabisa. Ina guarantee ya mwaka mzima, Qwerty keyboard easy-messaging. Send me a PM ili tufanye biashara mapema kabla bidhaa haijaenda.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Nimetaarifiwa sasa hivi kwamba mke wa member mwenzetu Freetown ameaga dunia mchana huu saa7.30 kwenye hospitali ya KCMC-Moshi. Freetown ni member 'legend' hapa majukwaani, na kwa wale...
0 Reactions
173 Replies
17K Views
AINA: HCDGNV111D SPIKA TANO 7900W 3 DVDS TAPE SURROUND + tru sound 4 INPUTS n.k Tatizo lililopo: Ukijaribu kueject tray ya CD inaandika "LOCKED",so sijatumia sehemu ya CD muda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza piki piki ya miguu mitatu TWO STROKE YA INDIA -imetumika -bado inatembea,injini iko safi,inakula mafuta vizuri lita moja kwa karibu km 30 -bodi iko safi -Inafaa kufanyia biashara -Tafuta...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
  • Closed
Heshima zenu wana JF. Nasikitika kuwafahamisha kuwa mwana JF ambaye alitangazwa hapa na Maxence Melo kuwa anaumwa sana na kuomba tumwombee amefariki dunia. Mwana JF huyu ambaye ni mke wa mwana...
0 Reactions
129 Replies
18K Views
Jamani nauliza kama naweza kupata redio yenye CD tatu,na iwe na uwezo wa kusoma USB kwa bei ya 350000 Tsh,haraka sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa, kimepimwa,kina hati na kipo katika eneo lililopimwa (moja ya maeneo ya viwanja 20,000 vya mradi, eneo zima lina viwanja 8000 vilivyopimwa) kipo eneo la Buyuni,ilala (It is...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom