Wasalaam wadau wote,
Nahitaji kununua electronics flaniflani kutoka ebay.com, lakini kila venda nayemcheki anasema hafanyi international shipment !! lakini kwa vitu kama DVDs, ama vitabu ni...
Habarini wanajamvi!
Natafuta fire extinguishers CO2 kama tano hivi hapa DSM zenye ujazo wa 50 kgs ambazo zinakuwa fixed kwenye troley yenye matairi matatu inayoweza kusukumwa na mtu mmoja. Hizi...
Kuna Jamaa ananahitaji Laptop Aina yoyote kati ya:-
Dell
Toshiba
HP
Specifications:-
Iwe na:-
Processor: Pentium n-series (Intel inside), GHz 2.00 na kuendelea
Hard disk: 80 GB na kuendelea...
Wadau natumai mpo fit, nataka kumfungua kaofisi kadogo shida yangu ni Photocopy ya Canon IR 2018, kuna mdau anaweza nielekeza mahali nitapata kwa bei nzuri? naomba bei ya mpya na used, asanteni
Wana JF Heshima mbele
Naomba kama mwenye kujua nataka ninunue IPHONE 4 ya ukweli kwa Dola 700. Je anayejua? NAHITAJI HARAKA NIMEPATA KAZI MAJUU NATAKA KWENDA NAYO WAKUU
Located at Kimara Temboni about a kilometer from Morogoro Road. 4 bedrooms ( one ensuite), sitting room, dinning room, kitchen, store, plot size 2125 sqm, fenced, It has a clean tittle deed. Price...
Wamarekani wanakwambia u can run but u can never hide,utakimbia kimbia weee...alakini mwisho wake watakukamata tu.hawajamaa ni noma,huyu osama walishajua alipokua muda mrefu alakini walikua...
Ni DELL Latitude D630, imeibwa Mabibo Hostel, jana majira ya saa 1:30 usiku. Taarifa ya upotevu ipo Kituo cha Polisi wasaidizi Mabibo Hostel. Yeyote atakayepata taarifa zake tusisite kupeana...
Habari wadau
Gari inauzwa, Aina ni Corona Premio, imetembea kilometre 55,000, ni automatic ya mwaka 1996, engine capacity 1800cc, 5doors, ipo kwenye good condition, bei ni Millioni saba na nusu...
Plots ziko mita 500 kutoka beach na zingine zinatazama barabara kuu ya kwenda ferry eneo la changani beach km 20 kutoka ferry,bei ni tsh 5000per square metre zimepimwa(surveyed).kwa maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.