Nauza shamba ekari moja na nusu

masochi

Member
Jul 29, 2011
14
0
SHAMBA lipo moshi vijijini kata ya mbokomu kijiji cha korini juu, shamba lina eneo la kiwanja cha kujenga, lina migomba na kahawa,bei maelewano piga 0716692928 au 0752381305 na o686296385.
 
toa dau, ila mashamba ya huko ni ya urth au utatuuzia na hayo makaburi na mizimu ya mababu zenu
 
Sema bei yako sasa, ili mtu anapokupigia anajua range ya bei yako, kuliko kukupigia blindly afu unataja bei za US$ 200,000!
 
sema bei kama unaona noma ni pm bei,kama inalipa tufanye biashara,nataka sana kuishi kijijini,nikanywe mbege ili mradi asije mdogo wa mwisho aanze kukidai hicho kihamba.
 
Bei ya shamba ni milioni 13, negotiations zitakuepo. also shamba halina makaburi.
 
Also nimesha-clear kwenye family na ukoo so mdogo hawezi kuja kudai. ( ni wewe tu kama upo sawa karibu sana)
 
Kuna barabara ya kufika gari mpaka eneo lenyewe?Umeme umeshafika maeneo hayo?
 
shamba linafikika kwa gari, umeme nao upo unahitaji nguzo moja au mbili hivi.
pia MAJI yapo karibu. (shamba lipo just few meters from Fukeni lutherun church).
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom