"education sponsorship!"

Mwadilifu

Member
Feb 13, 2011
74
20
Mimi ni mwanafunzi wa Tumaini University-Iringa,naingia mwk wa 2,naomba sana waungwana na wakuu mlio humu msaada wenu either kuni"sponsor" au kunidirect ili nipate sponsorship.nitaprovide details kwa atakayeonesha nia ili ajue kainvest sehemu ya uhakika.Natanguliza shukrani jamani!

hupokei kwa sababu zipi huna vigezo ama hukuomba mwaka wa kwanza?

hupokei kwa sababu zipi huna vigezo ama hukuomba mwaka wa kwanza?

nlipata 3 ya 15(form 6),na nliomba mkopo jina halikutoka,ila m2 mmoja alipofatilia bodi alisema jina lilikuwa linaonesha 90%,ila nothng i get,ila cha ajabu kuna wanaopokea wakina na div. 3 za mwisho na si kuwa wanasoma education.mi nachukua law(LLB)

Pole sana ndugu yangu,,, najua how bad it feels kutokupata mkopo, but kama jina lako limetoka na 90 percent, lazma pesa yako itakuwepo, ila kuna uchakachuaji unafanyika, i advise u make more follow up kwenye hilo suala,,inawezekana kuna mtu anazichota kwa jina lako, na baadae ukija kwenye ajira, udaiwe wewe,,, tek care mdogo wangu, and i wish u all the best

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom