Mitsubishi Fuso Rosa Bus 4D32 for SALE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mitsubishi Fuso Rosa Bus 4D32 for SALE

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Original Pastor, Aug 1, 2011.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wana JF nauza JIWE yaani engine yako kiboko kwa hard work Mitsubishi Fuso ROsa bus passenger 26,colour green/white Engine type 4D32 Ipo Japan Inakuja mwisho wa mwezi huu Bei Tshs 33,000,000 Milion. Hiyo ikija inasajiliwa kabisa kwa jina lako mwenye kuhutaji. Anayetaka Pcha ani PM nimtumie. Kwa anayejua magari asiiache hiii kwani injini yake ni sawa na canter 4D32
   
 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa daladala ndo enyewe
   
 3. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwanini Picha kwa PM?

  You mean you want my E-mail adress? how will you send the Pictures?

  Wengine tunaogopa usalama wa taifa.
   
 4. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  kwa nini wewe unauza ? ni model ya mwaka gn? ulishaiona physically ? am interested ....
   
 5. Mnyang'anyi

  Mnyang'anyi Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  Duh! hiyo bei sasa... labda wanaweza wazee wa vijisenti peke yao!!
   
 6. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mitsubishi Fuso ROsa bus passenger 26,colour green/white Engine type 4D32 YEAR 1991
   
 7. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wakuu kuna jamaa alinipm nimempanamba hanipigii kama yupo apige hata meseji hajibu
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,133
  Likes Received: 7,381
  Trophy Points: 280
  Ya longi sana
   
 9. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wewe Shark Acha dharau yale magari yote unayopanda Bongo Dala dala Za mwaka 1977 na pia hata Ma DCM ya mwaka 1964 Sasa wewe unaona ya longi hata ukiangalia Nissani Civilia, ISuzu Jorney ,Hino zote mwaka 1990 za mwaka 199 mpaka sasa zina CC 4200 na kuendelea mpaka 5800 na hakuna Dereva anayezitaka hizo. Hii ni taarifa tu kaka

   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,133
  Likes Received: 7,381
  Trophy Points: 280
  Kweli aisee,
  Nlikua sijajua mkuu wangu, samahani sana.
  Tunapanda gari za zamani sana kisasi cha kwamba inabidi upande na mwamvuli ndani ya basi.
  Ila sasa na wewe unaweka margin kubwa bwana,
   
 11. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Haya bana nimekugongea like

   
Loading...