WANA JF Natafuta watu waliosoma Leganga primary School Usa River Arusha kuanzia mwaka 1982-1988. Akina Muhammad Ali, Israel, Hariri Khamisi, rehema, Yolanda, Zakaria Simon, msafiri na wengineo wengi ambao siwakumbuki lakini tunaweza kukumbushana, kama wapo wani PM