MSAADA: NAMBA ZA SIMU za VIONGOZI NA WABUNGE WA CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA: NAMBA ZA SIMU za VIONGOZI NA WABUNGE WA CUF

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mdau wetu, Aug 4, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF kwanza hongera zenu nakupeni kwa majukumu yenu katika jamii. Naomba msaada wa namba za simu za viongozi na Wabunge wa CUF. Majuma kadhaa yaliyopita niliona namba za viongozi na Wabunge wa Chadema baada ya mwana JF mmoja kuomba. Hivyo natarji hamtokuwa wachoyo na za CUF pia mtaziweka hapa. Natanguliza shukurani za dhati. Kwa wale ambao wako katika funga ya saum ya Ramadhani nawatakia Saum Maqbuu.
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Zanzinet utapata humu sidhani.
   
 3. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Mie sio member wa hiyo zanzinet, kwani jf wote ni chadema? Manake za chadema walizitoa speed. Mhhh
   
 4. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  utapata endelea kusubiri.
   
 5. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naendelea kusubiri nikiwa na wingi wa matumaini manake JF huwa haimuangushi mtu
   
Loading...