Limsaada tutani jameni....................befoward japanese car exporters | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Limsaada tutani jameni....................befoward japanese car exporters

Discussion in 'Matangazo madogo' started by super thinker, Jul 15, 2011.

 1. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama kuna mtu ameshawahi kuagiza gari kutoka kwa befoward japanese car exporters naomba anipe ushauri juu ya reliability yao katika kuagiza magari kutoka kwao coz naona jamaa bei zao kiasi ni chini ukilinganisha na exporters wengine na wanaonyesha the true view ya gari husika....nimeshawatumia trust na wengineo ila hawa jamaa bei ni chini

  Msaada jameni
   
 2. M

  Masomi Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeshafanya biashara nao hawa jamaa hawana tatizo, si mm tu lakini pia hapa sehemu ninayofanyia kazi kuna watu kibao wamenunua kampuni hiyo na sijasikia hata mmoja aliyelalamika. Gari inachukua 3 to 4 weeks kufika Bongo kama watatumia meli ya direct bila kuanzia africa ya kusini.
   
 3. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Thanx masomi, waweza kunitell procedures ulizotumia baada ya kuliona gari husika then ku-order na malipo steps please sana.............
   
 4. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Beforward ni reliable and quick, just login on their page, select a car and order payment is via TT
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kaka wako poa sana hao jamaa. kuna jamaa yangu wa karibu mwezi wa tano kaingiza ndinga yake toka kwa hao jamaa
   
 6. M

  Masomi Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Super thinker, ingia kwenye website yao na uchague gari unayoitaka then jaza ile inqury na uisubmit. Watakujibu baada ya muda mfupi na kuanzia hapo mtaanza kunegotiate nao mpaka hapo mtakapo kubaliana CIF value, mkikubaliana watakutumia proforma invoice nawe utawatumia pesa kwa TT na mtaendelea kuwasiliana nao mpaka gari itakapofika bongo.

  Alternatively utumie website ya www.tradecarview.com humu uchague dealer huyo (befoward), humo unaweza kutumia malipo kwa njia ya 'paytrade' kumlipa. Paytrade ni third part ambao wewe utatuma pesa kwao nao watazishikilia mpaka wapate uhakika kwamba jamaa ameituma ile gari kwako ndo wampatie zile pesa, kumbuka ukitukia njia hii gharama itaongezeka kidogo kama US$150 - 300 hivi.

  Kila la kheri
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280
  Achana Tradecarview huko utakutana na matapeli na bei kule lazima iwe juu kwanisikuhizi wanalipia kupost magari yao,
  Beforward hawana tabu nishaagiza magari mawili kwao na yalifika fresh.
  ila vipi TRA umewatembelea na KODI zao mpya?
   
 8. m

  mndebile Senior Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 4, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kaka mie nimeshaagiza kwa hao jamaa na gari nilipata bila matatizo, ila inabidi ukiona gari pesa uwe nayo mkononi maana mie nilichagua gari na nikatuma pesa electronically kutoka kwenye account yangu, tatizo wao wakawa wanataka niwatumie TT copy ambayo mie sikuwa nayo kwa vile sikuenda bank kutuma hizo pesa, matokeo yake hiyo gari wakaiuza kwa mtu mwingine, kisa walichelewa kupata hiyo pesa, walipokuja kuona pesa imeingia kwenye account yao, wakaniambia nichague gari jingine au wanirudishie pesa yangu. Kwa kweli nilimaliza kama week nyingine nikiangalia gari nyingine kutoka kwenye mtandao wao, hatimae nikapata gari ambayo gharama yake ilikuwa chini kidogo wakaniuzia na kunirudishia hiyo pesa kidogo iliyozidi.
  Usiwe na shaka kabisa hao jamaa wanaaminika kwa asilimia mia moja.
   
 9. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kufanya nao bishara lakini nafahamu watu kama watatu hivi walio-import kupitia be forward bila tatizo. Hivi kuna mtu yeyote ame-import gari post july 1?? nataka kujua ikiwa tra wanafuata ile valuation model yao walioitoa, maana jamaa huwa wana-uplift kodi makusudi....alieingiza gari kuanzia july atujulushe kodi alizolipa kama zinalandana na estimation kupitia TRA calculator
   
 10. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unaweza kupitia Tradecar view pia ni bomba tu. Na uzuri siku hizi kuna 'Pay Trade' ukilipa pesa yako wanabaki nayo Trade car view hadi gari yako itumwe ndio jamaa waliokuuzia wanalipwa, hamna utapeli hapa, nina experience ya kutosha tu
   
 11. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mwenye kujua kuhusu TRA na mikodi yao kuanzia 1st July atujuze, maana kuna ndinga yangu ilipakiwa tangu July 6, naitarajia wakati wowote next week. Nataka nijipange!
   
 12. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu cheki Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com unaandika make/model, mwaka na cc zake unapata kodi utakayokamuliwa
   
 13. P

  Purity1 Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wapo vizuri sana hawwa jamaa
   
 14. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wasiliana na Jamaa mmoja anaitwa YASU huyu ndio boss pale Be forward na nimewaamini sana kwani nilishaingiza gari saba na gari ingine inakuja ipo majini ukiwasiliana nao waambie wananifahamu mimi sanaa
   
Loading...