Ninahitaji Toyota Kluger Ikipatatikana ya 2002-2003 sio mbaya...Nina budget ya 20M Tsh.
Mwenye ujuzi naweza pata wapi ani PM....Naweza ongeza ikafika 21M...Kama budget hiyo ni ndogo.
Buswelu
Toyota Rav4,1999 year of manufacture
3s FE engine 1988cc register in 2009 one owner.
full loaded AC,sports Rim,Silver color, 112,000km 5doors,CD radio kenwood and nice speakers.
price 9.5M...
gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so, almost 15000km nimetumia...
habari ya subuhu wanajamii wenzangu!
Naomba mnisaidie mawazo, je nyumba yenye thaman ya mil 40, unaweza ukapata mkopo wa kiasi gani bank kwa kutumia hati kama security!
Watanzania mlio Dodoma kama una nyumba unapangisha maeneo ya Area C au D dodoma please usichelewe! Sifa za nyumba
1. Kuanzia vyumba vitatu
2. Maji na umeme viwepo
3. fee kati ya laki 2 hadi 3.
4...
Wana JF wenzangu, Kama kuna muhitaji wa shamba enel la ekari moja liko Kibaha Karibu nakwa Mathias, lina michungwa michache na miti kadhaa ya mitiki. Maji ya bomba kuu hupitia mpakano mwake, liko...
Wapendwa napenda kutoa pole kwa nduguwa ndugu yetu alietutoka majuzi uko india akiwa matibabu
bw osiah rajabu..ni jiran yangu kijana aliekutana na miale ama mapigo ya dunia akiwa mdogo sana ndan...
Wadau inahitajika Yard ya kuuzia magari( car show room) yenye uwezo wa kuhifadhi magari yasiyopungua 200. Pia iwe pembeni ya main roads ili bidhaa zionekane kiurahisi kwa watu wanaotumia barabara...
Nyumba iliyopo Mbezi Luisi karibu na Mbezi High School njia ya kuelekea Mpiji Magoe inapangishwa. Ipo kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba ina sebule, chumba cha kulala, stoo ndogo...
Wakuu,
Kiwanja kinauzwa hekari Moja 70x70 - kina hati kamili. Kipo Gongolamboto - Bei Maelewano.
Ndani ya eleo hili kuna nyumba ya vyumba 4 self contained, fanya haraka.
RANGI NYEUSI
CHOGO NDOGO
MODEL TYPE:CS-29Z50MH
TYOE: KS7C29Z50
(UNAWEZA KU GOOGLE/BING KUPATA MAELEZO NA PICHA ZAKE)
PICHA CHACHE NIMEATTACH
HAIJAWAHI KWENDA KWA FUNDI WALA KUFUNGULIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.