Nyumba ina vyumba vitatu (3),chumba kimoja ni self.,store, jiko, sitting and dining rooms.
Maji na Umeme vipo kwa uhakika.
Nyumba ipo WEST NKUHUNGU, DODOMA.
KAMA UNAHITAJI, NI PM.
Kwa mwenye kontena la 20ft aniuzie mimi. Nitampatia TZS 400,000 (laki nne). Liwe na hali nzuri.
Kontena liwe dar kwani nahitaji kwa ajili ya kuhifadhia vifaa vyangu.
Asante.
Nauza modem ya Zantel Huawei EC 122 CDMA USB Stick Tsh 30,000 tu,pia nipo tayari kubadilishana na modem ya Airtel au Vodacom model yoyote,kwa mawasiliano 0786 585 490,nipo Jiji la Mafuriko Dar
jamani wana Jf nina motorola droid pro XT610 nililetewa toka usa sasa ina lock zao nimepeleka kariakoo kwa mafundi imeshindikana mwenye utaalamu anisaidie nifanyeje model yake ni 353635040948354
Natafuta Blackberry Bold 9700 nina Tshs 300,000 au BB kati ya hizi 8530, 9650, 9100 au 9780 nipo posta tukielewana ninakukabidhi cash yako unanikabidhi mzigo wangu.
Habari wana jf, nauza kuku wa nyama wakubwa kwa ajili ya migahawa, hotel na watu binafsi. Mimi nakaa pugu kikazi nipo muhimbili hospital, naleta kuku kwa order. Bei ni 6,500/- tu.
Kwa...
I find below invitation of importance to indigenous and inhabitants of Kagera or whomever planning to have a vacation in Bukoba during this season . Not bad and cost nothing to share!
Dear...
wakuu, nimepata vi-diem vya christmas milioni saba, nahitaji toyota cami kwa yeyote anayeuza, iwe kwenye hali nzuri tuu, naihitaji haraka pesa isije ikapata mahitaji mengine, mwenye nayo anicheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.