Natafuta mbwa Germany Shephered

Natafuta mbwa Germany Shephered

Parachichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
510
Reaction score
104
Wakuu kwa yeyote anayejua wanakopatikana pupies wa Germany shephered msaada tafadhali!nahitaji asiwe mkubwa awe na umri wa miezi 2-3.

Nawasilisha
 
Neda pale victoria kjitonyama wapo kila aina hata ukitaka 10
 
Ila kwa hao wadogo sana angalia vizuri kaka, mbwa mwitu na shepherd hawana tofauti kubwa wakiwa wadogo. victoria wazo zuri .
 
ukifika mpe interview mtupie kitu chochote chini akila temana nae huyo ni koko
 
Nashauri utafute alie na puppies tayari so you can see the parents. hizo za victoria sina uhakika...
 
Muone mtu anaitwa Msuya (if I am not mistaken) pale Barclays Ohio, side business yake ku breed hawa Alsatians. Namba yake nimeisahau, sisi tulinunua kwake. Ana mbwa wazuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom