Natafuta mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mkopo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ivilikinge, Aug 9, 2010.

 1. I

  Ivilikinge Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nahaitaji sana mkopo wa one million narudisha ndani ya miezi miwili kwa riba ya laki na nusu jamani nisaidieni nimlipie wife ada
   
 2. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Du pole sana. Tengeneza fomu pitisha maofisini watu watakuchangia ni wakarimu sana.
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  JF mpo???
  si mlisema harusi hamchangii tena,
  ila mambo kama haya mtachangia??:A S 8::A S 8:
   
 4. F

  Fanta Member

  #4
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  roselyne huu ni mkopo wenye riba
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kama unafanya kazi nenda banks..Pia gusia watu wako wa karibu wakusaidie, kwa dhamira ya hiyo hela unaweza kupata msaada wa haraka!
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hata sijui nisemeje hapa
   
 7. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Una cha kuweka nikuelekeze mahali,
  K.
   
 8. babalao

  babalao Forum Spammer

  #8
  Aug 14, 2010
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo siyo kukopeshwa mkopeshaji yoyote anapaswa kujiuliza utalipaje? pia uwe na dhamana. Kama ni mfanyakazi unaweza kukopa personal loan benki au tafuta NGO Au saccos zinazokopesha.
   
 9. Kottler Masoko

  Kottler Masoko Senior Member

  #9
  Aug 16, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Afadhali wewe kaka umetambua shida ya jamaa yetu, hawa wengine option zao ni hewa tu,Benk, saccos ni process na pia utoe kiasi ili ufanikiwe,Utachelewa.
   
 10. Kazakuku

  Kazakuku JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wasiliana na huyu no tigo 0656874027 anatoa,kama wewe ni mtumish wa selikalini.
   
 11. m

  mama cha Senior Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  katabazi nahitaji 4m ni hati ya kiwanja cha kupima kama dhamana kama waweza nielekeze
   
Loading...