natafuta kiwanja arusha

natafuta kiwanja arusha

aspen

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
501
Reaction score
166
habari wandugu nipo nje ya tz nimeomba ndugu na marafiki wanisaidie kutafuta kaplot ka kujenga but wananiambia ni gali sana si chini ya mil 15 naomba mnisaidie kama mnajua vilipo na bei zake wakuu asanteni
 
nikweli viwanja ni bei ghali alakini inategemea na maeneo yaliyopo.kiwanja cha hiyo bei utapata sehemu ambayo ni nzuri yaani planed area,alakini ikiwa kwenye mil7kwend chini lazima itakua mbali na mji na hakitakua kikubwa wala planed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom