Jamaa yangu mmoja aliniuliza jana, ni wapi anaweza kupata mkopo wa haraka Tsh. 1.5m ili akalipie ushuru wa mali yake bandarini halafu atarudisha ndani ya mwezi mmoja with 10% interest.
Yuko tayari kuweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Kwa yeyote anayejua sehemu ya aina hii tafadhali anaombwa msaada.
Yuko tayari kuweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Kwa yeyote anayejua sehemu ya aina hii tafadhali anaombwa msaada.