ndugu zangu walioko Tabora mjini mimi natafuta kiwanja kilichopimwa size ya kati (medium) chenye ofa au hati kabisa. Kiwe kinafikika kwa gari na pia kisiwe mbali sana na barabara.. kuu kisiwe...
Dawa ya kukuza, kujaza, na kufanya nywele ziwe nzito inauzwa kwa bei ya sh. 8500/= tu. Mnaweza kuipata kwa kupga simu 0787638521. Napatikana Dsm, Karibuni kina dada na kina mama.
Simu zilizopo katika hali nzuri na za uhakika na kila kitu chake kipo hadi box unapewa
HTC G1 WHITE=400,000.........BLACKBERRY 8520 WHITE =270,000............. BLACKBERRY 8310 =300,000...
Hello JF
Kama kuna mwenyeji wa mwanza anaye jua sehemu gani kuna viwanja au mashamba yanauzwa kwa bei nzuri,si zaidi ya 10m naomba tujulishane.
Au kuna unfinished house ambayo ina ramani nzuri...
Ndugu zangu, natafuta mbwa aina ya German Shepherd (kama wale wa polisi wenye maumbo makubwa). Nipo Dar. Mnifahamishe na bei zake tafadhali. Mawasiliano 0787 991 782. Itapendeza nikipata wenye...
Wadau hasa wa pale Moro naombeni msaada wenu,nahitaji nyumba kwa ajili ya kupanga hasa maeneo ya MAZIMBU au MODEKO,kwa yoyote anaweza kunipa taarifa ya upatikanaji naomba ani PM au tuwasiliane kwa...
nina memory card nimeweka miziki mingi tu kama zaidi ya mia lakini kila nikiplay mziki wowote unaimba mziki aina moja. Nini solution yake? Au ni virus!
Wadau, nauza kuku (chotara-weusi) wa mayai (wanapandwa na majogoo). Pamoja na majogoo wake..
Kuanzia kuku 30
na kuendelea..
Matetea sh 10,000.
Majogoo- 15,000..
Wapo katika hali nzuri...
View Tz Mjadala mzito umeanza Topic: KIPI BORA KATI YA "UNIVERSITY" AU "COLLEGE OR INSTITUTION" FOR THE SAME DEGREE? | View Tz Let say, Mhitimu wa IT UDSM na wa IFM nani atakua more beneficial?
Wana JF nauza Acer travel mate 2490, yenye H:D 60GB, INTEL CELERON 1.8GHz/1866MHz,1GB Ram,ipo Morogoro na hata Dar -es salaam inaweza patikana pia,bei ni 400,000 ipo katika GOOD condition...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.