Wapi naweza kupata mbwa 'German Shepherd' kwa Dar?

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,963
10,457
Ndugu zangu, natafuta mbwa aina ya German Shepherd (kama wale wa polisi wenye maumbo makubwa). Nipo Dar. Mnifahamishe na bei zake tafadhali. Mawasiliano 0787 991 782. Itapendeza nikipata wenye umri mdogo.
Ahsanteni
 
Mkuu wanauzwa kuanzia laki mbili, hapo vikiwa na miez miwili, ikizidi na pesa inazidi, mi nlinunua mbez msakuzi, sehem 1 panaitwa kwa mgogo, cna no yao ya cm, ningekupa uwatafte.
 
Mkuu wanauzwa kuanzia laki mbili, hapo vikiwa na miez miwili, ikizidi na pesa inazidi, mi nlinunua mbez msakuzi, sehem 1 panaitwa kwa mgogo, cna no yao ya cm, ningekupa uwatafte.

mkuu hebu tafuta tafuta hiyo no na uitundike hapa itatusaidia wengi
 
Mkuu kama kweli unawahtaj jisumbue kdogo, mi npo mbali! Ukifika mbez mwsho panda magari ya magoe, then waambie wakushushe kwa mgogo, ukishuka ulizia wap kuna mbwa, ni hapo hapo jiran! Ana sampo za kutosha, ni ww 2 na uhtaj wako.
 
hivi si nilisikia polisi huwa wanao.......wanawauza....?
 
Kuna jirani yangu anao, kama bado kuna wahitaji wajiweke wazi. Ni maeneo ya Lumo!.
 
Ahsanteni kwa msaada wa maelezo na mawasiliano mliyonipa, kumbe ni wengi tunawahitaji. Nitatoa jibu nikifanikiwa kuwanunua
 
Hao mbwa dar wapo wengi,ila bei yake si chini ya 250,000 hadi 300,000 pia usikubali kumnunua mbwa aina ya Germany sherpher bila kuona wazaz wa hao mbwa!kupigwa changa la macho ni nje nje!kuna mbwa breed flani hivi wanaitwaga breed ya iringa,wakiwa wadogo huwez kutofautisha na GSP.

So muwe makini msije mkaingizwa mjini!
 
Ni kweli usemacho mkuu! Mimi nilishapigwa changa la macho, wakiwa wadogo halafu bila kuwaona wazazi wa hao puppies unaweza kupigwa changa.
 
HTML:
Kijitonyama pale barabarani wamepangwa daily wanauzwa.

HTML:
Hao mbwa dar wapo wengi,ila bei yake si chini ya 250,000 hadi 300,000 pia usikubali kumnunua mbwa aina ya Germany sherpher bila kuona wazaz wa hao mbwa!kupigwa changa la macho ni nje nje!kuna mbwa breed flani hivi wanaitwaga breed ya iringa,wakiwa wadogo huwez kutofautisha na GSP.
HTML:

nina wasiwasi wale wa njiani k nyama na victoria ndo hao anaosema mdau tuwe makini
 
mkuu ninao wewe pm nitakutajia bei ila sio chini ya 250,000 na wako wa miezi 4 hadi kumi na mbili so tuwasiliane
 
Back
Top Bottom