Nauza Suzuki Grand Vitara 2.0 (ya mwaka 2002)

Nauza Suzuki Grand Vitara 2.0 (ya mwaka 2002)

shiumiti

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
435
Reaction score
19
Haijatumika Dar kabisa, just imported

Colour: Blue
Year: 2002
Capacity: 1995 cc
Doors: 5
Transmission: Manual
Millage: 107,800
Price: 14 Million

Serious buyers only; contact 0754 817729

Napenda sana Manual transmission, na kwa km hizo kwa vitara bado iko njema kabisa.
Ila broda hapo kwenye bei jitahidi kupafanyia modification.!

Nitaweka picha soon..

Haijatumika Dar kabisa, just imported

Colour: Blue
Year: 2002
Capacity: 1995 cc
Doors: 5
Transmission: Manual
Millage: 107,800
Price: 14 Million

Serious buyers only; contact 0754 817729

Kaka hiyo bei haina dalali. Naamin ukiiona gari utaridhika na hiyo bei
Napenda sana Manual transmission, na kwa km hizo kwa vitara bado iko njema kabisa.
Ila broda hapo kwenye bei jitahidi kupafanyia modification.!

Mungu akusaidie upate mteja haraka. Mimi sio serous buyer, ila ni serious prayer. Ntakuombea gari lako liuzike haraka, tena na bei nono.
Ubarikiwe sana

Nitaweka picha soon..

Haijatumika Dar kabisa, just imported

Colour: Blue
Year: 2002
Capacity: 1995 cc
Doors: 5
Transmission: Manual
Millage: 107,800
Price: 14 Million

Serious buyers only; contact 0754 817729

Attachments

• Suzuki Grand Vitara BACK.jpg
Suzuki Grand Vitara BACK.jpg
950.4 KB · Views: 534
Gari zuri sana, kitu imported from UK

Acha kuchombeza sana bujibuji au kuna cha udalali nini, mwenyewe kasema just imported na haijatumika Dar. what if it is just imported from Kigali na imetumika Mererani na sasa ndio imeingia Dar ambapo haijatumika kabisa Dar????!!!!.. au mdau amekumegea full details.

Mkuu gari yako iko vizuri ukishusha bei kidogo naweza kupm sasa hivi ebu fanya 11 mil.

Mkuu i am very serious, je imelipiwa taxes zote?

Haijatumika Dar kabisa, just imported

Colour: Blue
Year: 2002
Capacity: 1995 cc
Doors: 5
Transmission: Manual
Millage: 107,800
Price: 14 Million

Serious buyers only; contact 0754 817729[/QUOTE]

Mkuu gari yako iko vizuri ukishusha bei kidogo naweza kupm sasa hivi ebu fanya 11 mil.

Du! Yaani umeona picha ya gari kwa nyuma tayari umeshaanza kutaja bei? Why not ask to view the car and give it a test drive then ndio utaje bei yako? Ndio maana watu wanauziwa mbuzi kwenye gunia mkuu!!!

kama kweli hizo details alizotoa ni za kweli hiyo gari inauzwa bei raisi mno. labda aseme hajalipa kodi bado!!!!!!!. nani hajui bei ya magari hapa nyumbani?

kama kweli hizo details alizotoa ni za kweli hiyo gari inauzwa bei raisi mno. labda aseme hajalipa kodi bado!!!!!!!. nani hajui bei ya magari hapa nyumbani?

Bei ya gari sio kama ya nguo. The specs might be ok lakini kuna viyu vingi vya kuangalia. Yawezekana gari ilishapata ajali au ina matatizo ya engine who knows? Ndio maana watu kabla hawajanunua used cars, ni muhimu kuiona na kuiendesha kidogo. Mambo ya kuangalia picha na kufika bei mhh!!!! Haya bwana kwa vile bei za magari zinafahamika endeleeni kuuziana kwa picha.

Imelipiwa mkuu na nimeshafanya registration hapa bongo:
Mkuu i am very serious, je imelipiwa taxes zote?

Haijatumika Dar kabisa, just imported

Colour: Blue
Year: 2002
Capacity: 1995 cc
Doors: 5
Transmission: Manual
Millage: 107,800
Price: 14 Million

Serious buyers only; contact 0754 817729
[/QUOTE]

Mkuu yaan ukiona hiyo gari huwezi kusita kununua kama kweli unahitaji gari..

Mkuu gari yako iko vizuri ukishusha bei kidogo naweza kupm sasa hivi ebu fanya 11 mil.

Details ni za kweli...na ruksa kuiona, just pm me!
kama kweli hizo details alizotoa ni za kweli hiyo gari inauzwa bei raisi mno. labda aseme hajalipa kodi bado!!!!!!!. nani hajui bei ya magari hapa nyumbani?

Back
Top Bottom