ISP haina haja ya kutaja utamjua ISP wako ukishaipata hyo line,sioni umuhimu wa kuitaja.Sijaelewa, unlimited internet kutoka kwa isp gani?
kama seriously waitaka basi utajua tu ni network ganiFundi+unlimited Internet hii network sijawahisikia. Ni Tigo kiaina au voda
guarantee yake ni miezi 9 ila zinaweza zikavuka hadi miaka depending na the rules za hizo line nitakazo kupazinakua unlmted mpka lni c miez 3 tu
Nshawai kutumia moja kama Hiyo nitakutafuta
simu yangu nazani yasumbua tokea jana ,nikipokea nakusikia ila nazani wewe hinisikii itakuwa mic mbona nabadili handset then i will callyou back...line zimebaki 8 tu.