Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,129
nokia n78 ipo kwenye condition nzuri :Specs,wifi.bluetooth,3g.Primary camera 3.15megapixel,secondary for video call
sh ngapi?
180000
180000
tupe namba 2wasiliane
hii hapa utatoa ngapi?.............leta offer yako, jinyonge mwenyewetupe namba 2wasiliane
hii hapa utatoa ngapi?.............leta offer yako, jinyonge mwenyewe
![]()
huajawahi kuona wazungu wanaokichapa kiswahili kama mimi??Wewe ni mzungu? Lol, ukishauza simu unitafute unipeleke vekesheni spain basi (kama hujafikisha miaka 80 ya umri)
hii hapa utatoa ngapi?.............leta offer yako, jinyonge mwenyewe
![]()
hio shingapi? E60 au nimekosea
Nokia E61i haizidi laki nne huku mikoani!