Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

The Godfather, The Last Don and The Sicilian all by Mario Puzo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina kiwanja changu chenye ukubwa wa square meter 2,055 katika eneo la mabwepande, kata ya bunju-manispaa ya kinondoni. Hichi kiwanja ningependa kukikipangisha kwa makampuni ya simu wanaohitaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari jamvinii, nina HTC mobile nauza model yake ni HTC DREAM. Ipo na charger yake. price ni 275000Tshs kama anayehitaji ani PM.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar, Nauza samsung min laptop mpya. Spec zake ni 250GB HDD 2GB ram Webcam Bluetooth. Bei 400,000/=. Nichek pitia 0655003510
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dell d630 harddisk 80 wire less and et all.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Natafuta nokia E72 au N73 ya kununua. Mwenye nayo aniPM bei yake.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Water Pump Ya Petrol, nimeitumia kwa muda wa miezi miwili. Ina kila viunganishi vyake, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote, atakayenunua ntampa na mipira yake ya kuvutia na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau ninechoka na Mafundi wa Uswahilini ambao wao hutengeneza Magari kwa kubahatisha. Natafuta Fundi mzuri wa Mechanics hapa Bongo anayetumia vifaa vya Kisasa kufanya Diagnostics kama Computer...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Acer Aspire one D255E 250GB hard disk 1gb ram, bluetooth webcam bei 420000/=. fanya kuniPM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wooooorapz? natafuta photocopy machine, nipo dodoma kama unayo na unaiuza tuwasiliane kwa namba 0785009236.email,,, samwely.kisinga@rocketmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toyota doule cabin Hilux Tacoma left hand ya 2004 inauzwa, ipo kwenye hali nzuri sana bei 35m. Serious buyer just call 0754827198 or ni PM.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar za asubuh wanajf,naomba mnijuze,nina cm ya nokia N8,betr yake ni fixed hiv nikitaka kubadilisha inawezekana?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nauza TOYOTA Vtz ,rangi ya kijani yenye namba T 364 BFD. Nimeiokota imeletwa na maji ya maafriko.Haina kadi ya gari wala nn! bei maelewano. aliyekua tayari kuinunua aniPM.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu salam, Natafuta blackberry 8520 mpya ikiwa na accessories zake zote. bajeti yangu ni 250,000/= negotiable kama una hiyo simu unipm au piga 0718637491. mkuu marty unahusika sana hapa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba self contained inapangishwa Kimara Temboni. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen, store na eneo la takribani ekari moja linalofaa kwa kilimo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kama heading inavyojieleza
0 Reactions
4 Replies
1K Views
anaeuza cd za ps2 ntsc ani pm natka ya kptzea mda evn used bt gud cndtn
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Ni mpya kabisa. Inafaa zaidi kwa matumizi ya Internet caf'e, ofisi au home. Inatumia SIM card ya aina yeyote(mtandao wowote). Gurantee 2yrs Bei ni maelewano. Ni'PM.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bei ni Tsh 400,000/= tu,ina 12MP camera,12GB internal memory etc,Imetumika miez 9 hapa bongo niPM tuongee biashara.niko mji kasoro bahari
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji original earphone za blackberry Kwa mwenye nazo ani pm tufanye biashara.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom