Nyumba ya kupanga Morogoro inahitajika

Nyumba ya kupanga Morogoro inahitajika

Nyamburi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
306
Reaction score
37
Wadau hasa wa pale Moro naombeni msaada wenu,nahitaji nyumba kwa ajili ya kupanga hasa maeneo ya MAZIMBU au MODEKO,kwa yoyote anaweza kunipa taarifa ya upatikanaji naomba ani PM au tuwasiliane kwa simu 0784670026
 
Nyumba iwe na mahitaj gan?chumba 1,2,3,4 au vingap?iwe self au?
 
ipo moja mitaa ya mazimbu kuna best wangu amehama amehamia kwake lakini ni kubwa inavyvumba v4 no fence ni pm ukitaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom