Dawa ya kukuza nywele

Dawa ya kukuza nywele

Joined
Sep 8, 2011
Posts
41
Reaction score
3
Dawa ya kukuza, kujaza, na kufanya nywele ziwe nzito inauzwa kwa bei ya sh. 8500/= tu. Mnaweza kuipata kwa kupga simu 0787638521. Napatikana Dsm, Karibuni kina dada na kina mama.
 
Toka Nchi gani? Toa full data kwn wengine tuko mbali na tunaweza kukuungisha.
 
utapiamlo pia unadumaza nywele...lol
Kwa hiyo lishe tu yaweza tosha kurutubisha kipilipili

umeona eeh! Kuna mtu alitumia hayo maaloevera akanyonyoka nywele badala ya kukua.
 
Kwanza ina uwezo wa kukuza Nywele zipi sasa??
Binadamu ana nywele za aina nyingi mkuu??
 
Back
Top Bottom