Kuku wanauzwa kwa jumla jumla,

Usiku huu

Member
Sep 10, 2011
58
9
Wadau, nauza kuku (chotara-weusi) wa mayai (wanapandwa na majogoo). Pamoja na majogoo wake..
Kuanzia kuku 30
na kuendelea..
Matetea sh 10,000.
Majogoo- 15,000..
Wapo katika hali nzuri..
Mnaweza nielekeza ni maeneo gani naweza kupata soko kwa kuwauza kwa jumla?, wapo kuku 250 hv..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom