Kama kuna mwenyeji wa mwanza anaye jua sehemu gani kuna viwanja au mashamba yanauzwa kwa bei nzuri,si zaidi ya 10m naomba tujulishane.
Au kuna unfinished house ambayo ina ramani nzuri pia tufahamishane.
Je unahitaji viwanja vilivyopimwa tu au hata ambavyo havijapimwa pia? Mashamba yapo buhongwa kama uko serious ni pm. nb; mm sio dalali na wala sihitaji dalali
Kama kuna mwenyeji wa mwanza anaye jua sehemu gani kuna viwanja au mashamba yanauzwa kwa bei nzuri,si zaidi ya 10m naomba tujulishane.
Au kuna unfinished house ambayo ina ramani nzuri pia tufahamishane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.