Wakuu wa nchi natafuta Gari ndogo kwa ajili ya shughuli zangu binafsi kama Kuna mtu anayeuza kati ya hizi Gari please let me know please contact 0752027966.au kama nikipata Vitz au starlet...
Wadau natafuta laini hizo nilizitaja hapo juu!!! Ili biashara iwe nyepesi napenda zaidi uwe unapstikana mtwara mjini.... Unaweza nipata kutumia namba 0762036146 ili tuongee biashara!!!
Natafuta galaxy note 3 original, ikiwa mpya au used sio shida ila iwe katika hali ya kuridhisha kiasi cha kunishawishi kukutunukia kiasi cha tshs tembo 40 chap chap (400k), naihitaji leo kabla...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza kwamba, nina Sh. Mil 1.5, npo Kwimba/Mwanza naweza pata Muziki ambao naweza nikapigia sehemu za wazi kama vile kwenye sherehe mbalimbali kama harusi, mahafali...
Kipo Dar wilaya ya Ilala jimbo la ukonga kata ya Kipunguni, kina urefu wa futi 29 na upana wa futi 19 barabara ipo na umeme upo karibu utonunua mchanga wakati wa ujenzi wala maji mnunuzi serious...
Habari wana Bodi.
Kuna Mashamba yanauzwa Mikese, Morogoro.
Yapo 2km kutoka barabara kuu.
Bei: Laki saba (700,000) kwa ekari 1.
Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872
Asante
Wewe ni oil skin? Unasumbuliwa na chunusi? Unasumbuliwa na mafuta usoni? Uko soft na unahitaji basic care? Je unahitaji kung'aa kialisia? Tunavyo vitu asilia kwaajili yako.
Wasiliana nami kwa oda...
Unataka kung'aa bila kutumia vitu vyenye chemical na kuharibu ngozi yako?tumia essential fairness na silk white glow.
Kwa oda/ ushauri/ kuanza biashara......wasiliana nami 0717 343635
Kama Tangazo linavyosema nauza Simu Aina Ya Blu for 80,000 na maongezi yapo. Ina kila kitu including earphones na ni mzigo Mpya kutoka south africa. Kwa mawasiliano zaidi nicheki kwneye namba hii...
Nauza pikipiki aina ya skymark, inatembea na ipo katika hali nzuri, tairi zake ni mpya kabisa, imesajiliwa kwa namba mpya na kwa jina langu mwenyewe
Sababu ya kuiuza, nimechoka kutembelea...
Pata Viwanja vilivyo pimwa na visivyo pimwa, kuanzia square meter 700 adi 5000. na wenye matumizi makubwa ya ardhi ikiwa ni makapuni na watu binafsi tuna Ekari 1 adi 10 sehemu moja.
Viwanja viko...
Habari wanaJF! Nna bajeti ya mil5 - 7 natafuta kiwanja cha kujenga mkoa wa Kilimanjaro, Manispaa ya Moshi mjini, maeneo yafuatayo:
- Rau (hata Uru ya mwanzo)
- KCMC
- Soweto
- Shah Tours (hata...
Hi ni kwa wanawake na wanaume wanaopenda ngozi zao, kama unataka kuwa na ngozi mcharo bhas chukua moja kati ya hizi na matokeo yake, utafurah.... Hazichubui kwahyo wanaotaka kuwa weupe...
Wakuu na wadau wa kilimo..
Ningependa kuelewa soko la VIAZI vitamu Dar es salaam likoje. Mara nyingi zao hili linalimwa na kuvunwa kwa msimu hasa miezi ya kiangazi, je soko lake nalo ni kwa msimu...
Processor intel 1.60Ghz
RAM 2.00 GB
Hard disk 80GB
Battery life 5 hours( Ina extended battery)
Price:200,000
Haina tatizo lolote..
Phone no..+255654145154 tufanye biashara