Nahitaji Radio Transmitter

Wakuu nahitaji transmitter ya radio wakuu, ikiwa Una mtu mwenye hiyo kitu nipigie wakuu nahitaji Sana.
0754459572

Mkuu kuna transmitter za power tofauti sasa inategemea wewe unataka ya nguvu kiasi gani - i.e unataka isambaze mawimbi kwa umbali gani? Jaribu kufafanua kwa undani kidogo.
 
Mkoa ambayo kitalaam inaitwa district
 
Kwa wanaotaka kuanzisha kituo cha radio kwa huu mwaka 2015 ningependa kuwapa hints kidogo. Hatua ni chache sana japo kila hatua inamlolongo. Ningependa kwa ufupi nieleze hatua hizo:-
1. Maombi ya Leseni (License Application-TCRA)
Katika hatua hii kuna maandiko mengi sana na si kidogo yanatakiwa kuandaliwa kitalaamu na kisha kutumwa TCRA ukiambatanisha na ada ya maombi. nitaitaja baadaye.
2. Kununua vifaa na kufunga mitambo (Equipments purchase & Installations)
Hapa ni kuagiza vifaa na kufunga mitambo. Hatua hii pia ni ya mlolongo kwa maana utatakiwa kuagiza vifaa, kufunga mitambo na masuala mengine zaidi ya kiufundi.
3. Baada ya kupata kibali cha majaribio toka TCRA sasa unaweza kuanza kurusha matangazo kwa majaribio wakati huo pia utautumia kwa ajili ya mafunzo kwa vijana/wafanyakazi wako mkijiandaa na matangazo rasmi.
Gharama
1. Maombi ya leseni huambatanishwa na ada ya Tshs 1,700,000/= au dola 1000 za Marekani. Pamoja na ada hiyo unahitaji wataalamu wa kukuandikia maandiko hayo kwa ustadi. Kampuni yetu ya Radio Consult LTD itakupa offer mwanzoni mwa mwaka huu kuandaa maandiko hayo kwa Tshs 1,000,000/= (Million moja tu) Ila utagharamia zoezi la survey kuja kufanya tathimini ya uwezekano wa utekelezaji wa mradi wako.
2. Gharama ya vifaa inategemea na wewe unamtaji kiasi gani, kampuni yetu inaweza kutengeneza packages za vifaa kuanzia Tshs 35,000,000/= (million thelathini na tano tu) Tutakufungia mitambo kwa gharama nafuu kabisa ya Tshs 3,000,000/= (Million tatu tu)
Je, umeona kuwa unaweza kutimiza ndoto yako? Wasiliana nasi-Radio Consult LTD kwa barua pepe ifuatayo:-
consultancy@radiotz.com
 
Mkuu kwa mawazo yangu ungemuhacha kwanza aseme anahitaji transmitter ya power kiasi gani - masuala ya ushauri yangesubiri kwanza.
 
Sihitaji kuanzisha radio Bali Ni transmitter ya 500 power, vingine vyote tayari wakuu...hizo process zote zimekamilika ila transmitter iliyopo Ni ndogo tunahitaji ya kukava mkoa
 
Mkuu kuna transmitter za power tofauti sasa inategemea wewe unataka ya nguvu kiasi gani - i.e unataka isambaze mawimbi kwa umbali gani? Jaribu kufafanua kwa undani kidogo.
Transmitter inayoweza kukava km 100 za mraba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom