Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mabwawa yako matatu. Yana jumla ukubwa wa mita za mraba 4500. Yana uwezo wa kufuga samaki 45,000. Mahali: Wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza Kilomita 2 kutoka Barabara ya Mwanza - Musoma...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kiwanja kipo Tegeta A karibu na Ghoba tunapitia mbez mwisho ukubwa n 15 kwa 20 kina msingi wa vyumba vi3 na sitng room ,, bei n million2 na nusu 2,500,000/= mawasiliano 0712846799
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Iwe na uwezo wa kuprint A4 size na chini ya hapo. Mwenye nayo ani-pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamii kwa wa kazi wa Mbinga naulizia MGANGA maarufu au waganga maarufu wanaopatikana ktk wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma au yule anaeogopwa sana
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza mziki huo kwa 350000 tu..used kwa 6months ni wa 1000watts na original price ni over 1milion but nauza cheap hivyo kwakuwa ni bila deki yake. Utatumia kwa deki yako. Wahi uwe wako.. 0689315582
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani wanajamiiforums, naomba msaada wa soko la paprika. Nina tani kati ya 50 hadi 70 kuanzia mwezi july. Kama kuna mtu anahitaji naomba msaada.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Pata simu kwa bei poa kabisa Samsung Galaxy S3-350k S4-395k S5-496k S6-1.24m S6 edge - 1.55m S6 edge plus - 1.78m Samsung Galaxy Note 1-292k Note 2-393k Note 3-532k Note 4-750k Note...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Ewe kijana, jasimalika kwa mtaji mdogo kabisa ujipatie kipato. Pata viatu kwa bei ya jumla kuandia 8500-13000. Kuanzia 10. Unaweza kuchanganya aina tofauti tofauti kwa pair 3katika kila moja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Jipatie raba makini, zinadumu, vyepesi kutembelea size 40-45 Bei 25000 Mkoani natuma ila gharama za usafirishaji ni zako mteja. watu wa Dar home delivery ni jumamos na jumapili tu. Na...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Nauza ipad 1 3G inatumia line,GB 16 HAINA CAMERA BEI LAKI 2 TUUU NICHEKI 0655 44 44 40 Nauza HDD 1T BEI elfu 80 TUU PIA IPO HP DV 2000 USED NA INA UDHAIFU KIASI NA INAFANYA KAZI BEI LAKI 2...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta HP Envy dv7t-7200 Quad Edition Ivy Bridge Quad Core i7-3630QM, 8GB RAM, Blu-ray, Windows 8 Intel Core i7 - 8GB RAM - 750GB Storage - 17.3" Display - Blu-Ray kwa ajili ya kununua. Mwenye...
-2 Reactions
4 Replies
1K Views
A US$700m landmark finance deal struck by Etihad Airways Partners (EAP) to fund expansion has been recognised by the prestigious market intelligence organisation International Financing Review...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Habarini jamani nahitaji msumeno mdogo ule wa umeme. Mara nyingi wanatumia kukatia mbao ndogo ndogo ili kuweka maua. Mwenye nao aweke bei tufanye biashara uwe mzima
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Bei maelewano, inapatikana Dar Es Salaam Tegeta, imeishi muda pasipo kufanya kazi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niina galaxy note3 ipo njema but kwa bahati mbaya juzi kati imenyofoka kile kiplastiki cha ku protect camera na flash kwa nyuma nilipokuwa nikifungua mfuniko wake wa nyuma. Mbaya zaidi kilivunjika...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Samsung Galaxy Note 4 for sale Full boxed Gold version 32GB Internal Storage Price 700,000
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya vetenary temeke.Ina 1.master room moja 2.guests rooms mbili 3.sebule/seating room moja 4.jiko 5.public toilet ya ndani 6.public toilet ya nje 7.visima vya maji viwili...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari ni mpya kama inavyo onekana kwenye picha.Bei 9.8 milion.maongezi yapo.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Flat TV nchi 32 Samsung inauzwa used for 6months. Nipo Taifa Dar, nicheck 0769630209
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Back
Top Bottom