Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
HEDIFONI ZA BOOM J8
Muundo wake
Hedifoni za Boom J8 zimeundwa kwa midundo ya viwango vya juu yaani 'advanced mega bass', muundo huu unaenda sambamba na ubora wa mawimbi ya sauti iliyochujwa kisawasawa.
Ngozi laini
Hedifoni hizi kwenye sehemu ya kusikiliza yaani sehemu inayogusana na sikio imefunikwa kwa tabaka yaani 'layer' ya ngozi (sio kitambaa) ngozi hii ni laini sana na imara ambayo inafanya sikio lako lisichoke kusikiliza au kugusana na hedifoni hizi bila kujali ni muda mrefu kiasi gani unasikiliza midundo.
Ni za Kifasheni
Zaidi ya hay o, ngozi hii imetokeza kidogo kwa nje na kukutana na plastiki ya rangi kitu kinachofanya uonekane mtu wa kifasheni zaidi.
Sauti nyororo
Hedifoni hizi zimezingatia viwango vya afya ya sikio lako, kwa namna zilivyotengenezwa, mawimbi ya sauti huchujwa kwa teknolojia kubwa ya kuondoa mikwaruzo inayoweza kusababisha sikio lako liume kama hedifoni zingine ambavyo huwa zinafanya.
Zinavalika vizuri
Ni kwa mtu yeyote hedifoni hizi zinavalika kwani zimetengenezwa kwa teknolojia ya kuweza kuzisogeza ' ku-adjust' na kuangalia mahali sahihi zinapokutosha.
KUWA DJ KWA KUJIACHIA NA MIDUNDO YA TECNO BOOM J8 HUKU UKIMATA KWA HEDIFONI ZAKE!