L lawyer2 JF-Expert Member Dec 31, 2015 224 67 May 12, 2016 #1 Salaam wadau...Ninauza Toyota Kluger imetoka Japan haijasajiliwa.Silver colour,4 cylinder,automatic.Nauza 22m.Karibuni sana.Kwa mawasiliano 0689900000
Salaam wadau...Ninauza Toyota Kluger imetoka Japan haijasajiliwa.Silver colour,4 cylinder,automatic.Nauza 22m.Karibuni sana.Kwa mawasiliano 0689900000
maringeni JF-Expert Member Oct 8, 2013 3,198 3,894 May 12, 2016 #4 We ingekuwa model ya mbele tungeongea
jembelamkono JF-Expert Member Nov 19, 2015 2,733 2,011 May 12, 2016 #5 Ina cc ngapi mkuu,vipi milage imetembe KM ngapi?haya nayo ni ya muhimu mkuu.
Sirdirashy JF-Expert Member Jan 26, 2014 3,238 3,027 May 12, 2016 #6 Haya mkuu watakuja mm hiyo gari nimeipenda ila salio langu ndogo ila liko poa ila kuwa makini nawale matapeli
Haya mkuu watakuja mm hiyo gari nimeipenda ila salio langu ndogo ila liko poa ila kuwa makini nawale matapeli
L lawyer2 JF-Expert Member Dec 31, 2015 224 67 May 13, 2016 Thread starter #7 Sorry wakuu nimechelewa kujibu lakini nimefanikiwa kuiuza leo mchana..thanks