Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gari ni mpya kama inavyo onekana kwenye picha.Bei 9.8 milion.maongezi yapo.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Flat TV nchi 32 Samsung inauzwa used for 6months. Nipo Taifa Dar, nicheck 0769630209
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Haina tatizo lolote With.. 2gamepads, Charger cable, Gamepad charger cable(USB), Original CD fifa13. PRICE Tsh.500,000/=NET
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Kiwanja kinauzwa Forest ya Zamani jirani na chuo cha Mzumbe, Mbeya Tshs. 60m. Bei inazungumzika. Kwa mawasiliano, wasiliana nami 0754060350,0716252818.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Naomba kwa anayeuza mafreezer atuwekee bei na picha kama yawezekana na mahali alipo
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina TV ambayo mtoto aliiangusha hivyo wino ulivuja. Kwa Fundi anayehitaji au MTU yeyote anayeweza kuhiitaji kuitengeneza au spare zake, anitafute. Bei 250. Niko Temeke, no: 0769630209...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu, viwanja viwili vipo nyuma ya Uporoto hapo Dar vilivyoungana. Kila kiwanja kina nyumba ambayo ina room tatu, sebule na choo na jiko. Kila kiwanja kina mita ya miraba elfu nne na kina hati ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ahlan wa sahlan Mabibi na Mabwana, ningependa kuwatangazia wale wenye uhitaji wa kununua viwanja ni kwamba nina hekari zipatazo 9 Goba Njia Nne, kila hekari moja nauza kwa milioni 20 za...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, anaeuza tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye kujua simu tecno boom j8 ni bei gani
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Habari, Nauza gari aina ya Toyota Noah ya mwaka 1999, imetembea kilometer 109, 000, number D, nauza kwa milioni 12 Wasiliana nami kwa 0716727741
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiwanja kipo mbezi Makonde karibu na sunset halls. Kina ukubwa wa sqm 1200. Kimepimwa. Bei 220m, mazungumzo yapo. Mawasiliano: 0655550450.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Eneo-Kinzudi Goba Ukubwa-18kwa20 Bei-million12 Maji Na Umeme Vipo Maelewano yapo More Details NiPM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata Viwanja Kigamboni kwa bei nafuu, kilometer 18 adi 20 toka Ferry na 0 kilometer adi 2 toka Barabara ya lami, Kumbuka bado siku NNE daraja kufunguliwa, hivyo kusababisha Viwanja kupanda Zaidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza iko chalinze mkoa wa pwani, imebondeka mbele injini nzima kwa anae hitaji BEI MAELEWANO PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imeingia bandarini 06/April/2016 Imelipiwa Kila kitu Haijatumika Hapa nchini Bei Inapungua. Piga 0714-910964 / 0755376337
0 Reactions
9 Replies
2K Views
bei 180,000 mwanza
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji Accounting Package kama Tally au QuickBook
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pikipiki iwe aina ya SunLG/Kinglion/Boxer iwe 125/150cc. 0753101293
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kama unahitaji chumba maeneo ya mwenge DSM near TRA njoo upange kwangu Bei ni 90,000 kwa mwezi.. hakuna dalai, nichek kwa 0713415537
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom