salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Linafaa kwa kilimo cha miwa ajili ya sukari eka moja milionoi 2; mwenye kuhitaji ani pm
Unashangaa hujui kuwa sukari dili sasaEka moja 2000000/= tshs au?
Lipo sehemu gani(kijiji) huko mtibwa?
Linafaa kulima mpunga?
Kwanini bei kubwa namna hiyo?