Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto

Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Habari zenu wadau,

Mwenye uhitaji wa nyumba ya kupanga Dar, Gongo la mboto maeneo ya Mzambarauni inapatikana nyumba yenye vyumba viwili na sebule. Bei ni shilingi 70,000 kwa mwezi. Wahi sasa.
 
Weka mawasiliano,au anayehitaji awasiliane vipi nawewe?
 
mi naitaji chumba..bajet25,30,35,40 maeneo ya gomz...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom