Nyumba Na Fremu za Biashara Zinapangishwa

akilikubwa

JF-Expert Member
May 11, 2015
590
108
Kwa Sasa tuna

1.maeneo ya kimara,
-----------------------------------
Chumba master na sebule jiko,choo,car parking mna share.maji na umeme upo.bei Ni 200,000 kwa mwezi kwa miez 6.

Nyumba Mzima master,na vyumba 2,jiko,choo,car parking ,ina umeme na maji bei Laki 2.5 kwa mwezi kwa miez 6.

2.Maeneo ya Sinza
-----------------------------------
Nyumba Mzima master,na vyumba 2,jiko,choo,car parking ,ina umeme na maji bei Laki 3.5 kwa mwezi kwa miez 6.

Chumba master na sebule jiko,choo,hamna parking.maji na umeme upo.bei Ni 250,000 kwa mwezi kwa miez 6.

3.Maeneo ya Tabata
----------------------------------

Chumba master na sebule jiko,choo,car parking mna share.maji na umeme upo.bei Ni 300,000 kwa mwezi kwa miez 6.

Nasehemu zingine nyingi kwa mwenye huitaji tuwasiliane kwa namba

0713 912577 Au Ni pm
 
Nahitaji fremu ya barabarani inayoweza kutumika kama ofisi kuwe na parking inayotosha lori mbele. Iwe sehemu ya mabibo soko la ndizi
 
Kwa Sasa tuna

1.maeneo ya kimara,
-----------------------------------
Chumba master na sebule jiko,choo,car parking mna share.maji na umeme upo.bei Ni 200,000 kwa mwezi kwa miez 6.

Nyumba Mzima master,na vyumba 2,jiko,choo,car parking ,ina umeme na maji bei Laki 2.5 kwa mwezi kwa miez 6.

2.Maeneo ya Sinza
-----------------------------------
Nyumba Mzima master,na vyumba 2,jiko,choo,car parking ,ina umeme na maji bei Laki 3.5 kwa mwezi kwa miez 6.

Chumba master na sebule jiko,choo,hamna parking.maji na umeme upo.bei Ni 250,000 kwa mwezi kwa miez 6.

3.Maeneo ya Tabata
----------------------------------

Chumba master na sebule jiko,choo,car parking mna share.maji na umeme upo.bei Ni 300,000 kwa mwezi kwa miez 6.

Nasehemu zingine nyingi kwa mwenye huitaji tuwasiliane kwa namba

0713 274802 Au Ni pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom