albertt
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 339
- 78
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
Bwana we utapata wateja apo panasoko kwa watu wenye mahitaji napo achana nawatu wamipasho pambana tu jf himekua km fb km huna chakusema kakimya
Sema kiwanja. Weka ukubwa in m2Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824