Mafuta ya Safi Cooker - Msaada

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Nimeishiwa mafuta ya safi cooker. Wakala wangu wa Mbagala kila nikimpigia ananiambia baada ya wiki 2 mafuta yatakuwa yamefika. Naona ni mwez umepita sasa, sion hata dalili.
Naomba kama waweza nisaidia moja kati ya haya.
1. Kuna wakala yoyote Mwenye nayo anayauza.
2. Namba zao za wahusika wenyew(makao makuu).
Asanteni.
 
Back
Top Bottom