Rafiki. Mbona bei ya mpya ni shs 79,000 tu?Wadau ninauza decoder ya dstv na dish lake kwa tsh 120,000. Kila kitu kipo vizur nmetumia mwaka mmoja tu. Remote,decoder vinafanya kaz vizuri.
Mi nipo tabata baracuda.
Yap. Imeshuka sana, halafu hizi za 79,000 ni za HD, wakati za zamani hazina HD.imeshuka hivyo?????????????????? mimi nlinunua 180,000. so kama mpya ni 79 mi nauza yangu 50,000. ikiwa ni hivyo ngoja nifanye utafiti mdogo.