Wanajamvi,
Kwa wale wanahitaji kiwanja Arusha
ukubwa wake ni 26 kwa 22
hakina mgogoro wowote nahitaji pesa tu.
Huduma kama maji, umeme na barabara vyote zinapatikana,
Mandhari murua unapata...
About Big one enterprises
Bigone logistic inakupa suluhisho la kupaua kuanzia ushauri
wa kukupigia hesabu mabati mangapi yanahitajika katika nyumba yako kwa njia ya ramani au kufika site kwako...
Shirika la ndege la Etihad leo limefungua rasmi jumba jipya la kifahari kwa ajili ya kupumzikia abiria wake katika uwanja wa ndege wa Melbourne, Australia. Jumba hilo ni mahususi kwa kuwapatia...
Andika text whatsapp yenye jina la software unayohitaji, mahali ulipo na idadi. Tutakupigia kukupa bei.... Kwa wateja wa Software zaidi ya tano unapata moja for pc bure. Piga 0718653453
COFOSS...
Wakuu nauza kuku wa kisasa(broilers) kwa elfu nane.Ni wakubwa sana wanapatikana kwa dar es salaam na jirani na dar usafiri juu yangu.Kama upo interested nicheki 0715867505
Wakuu
Nina uhitaji wa kuku wa kienyeji wa kufuga / vifaranga wenye umri WA mwezi mmoja na zaidi Kwa sehemu Za Morogoro. Kama kuna mtu anaweza kuwa nao Naomba tuwasiliane. Wanahitajika Kwa wingi.
Wadau kuna Nyumba inauzwa iko KIBAHA kwa mfipa,ina vyumba 4,choo na jiko ndani.Eneo liko square na lina ukubwa wa Mita 20*40.Bei ni 65M.
Hakuna dalali, wasiliana na mmiliki mwenyewe kwa namba...
Kiwanja kinauzwa kipo Mkuranga maeneo ya dundani karibu na shule ya msingi mita 40 kutoka barabara ya Kilwa road .
Kina upana wa mita 30 na urefu mita 40 kina miembe 3 minazi 5 na migomba 5...
Kama una plot kuanzia nusu eka vikiandu hadi dundani karibu na barabara na umeme na pia gari kubwa ziwe zinafika kwenye kiwanja. Kama unacho weka ukubwa na bei
Nataka kufanya hiki kilimo but nimepata changamoto ya kuipata eneo. Mi naish DSM nlienda kule Kimbiji Kijaka.. But nlishauriwa hakuna rutuba na kilimo ni challenge kidogo. Nikashauriwa niende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.