Meza zinauzwa

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
539
Meza sita used zinauzwa, unaweza kuzitumia kwa ajili ya darasa la computer au matumizi mengineyo. ni meza imara sana top yake ni ya mninga na miguu yale ya chuma. bei ni sh. 80,000 tu kwa kila meza.
nimeambatanisha picha

unaweza kunipigia kwa no. 0754293720/0652827110
IMG_20160506_102756.jpg
IMG_20160506_102721.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom