Nanunua mayai ya kisasa-Dodoma

Kasiane

Member
Apr 20, 2016
82
57
Natafuta mfugaji wa kuku anayeuza mayai ya kisasa kuanzia treyi 10, bei shillingi 6,000 kwa treyi. Muuzaji awe dodoma, kama unayo nicheki 0714112838. Thanks in advance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom