Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

  • Closed
Hellow wapendwa, kama una mtaji wako mzuri wa kuanzia biashara za azam zote nikimaanisha maji,(buguruni),soda carbonated soft drinks(mwandege),juices (vingunguti),na vinginevyo,ushauri na kila...
0 Reactions
27 Replies
16K Views
Pata mashine za kutoleshea vifaranga kutoka Imberuzi investment. Ni machine bora na za kisasa zilizotengezwa hapa nchini zimeundwa kwa mfumo wa automatic zinageuza mayai zenyewe pia zipo za ukubwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kujenga nyumba sio sawa namekununua gari, unaweza kununua gari ukaliuza Siku inayofata lakini sio nyumba. " NYUMBA NI SEHEMU MUHIMU KATIKA FAMILIA" Ukitaka kujenga tutafute tukupe ushairi wa nini...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana bidii nahitaji cm nzuri used ambayo haitarajii kuzimika mwezi ujao niko mbeya mjini kwa Sugu mawasiliano 0758844240 au ni pm fasta tufanye bizinesi
1 Reactions
0 Replies
1K Views
<br />Inakupa furusa ya kumaliza matatizo uliyonayo wakati wa kupaua kwa nzia gharama,aina ya bati,rangi na ushauri wa mafundi zaidi ya watano tofauti wa ubora ule ule<br /><br />Hakuna tena...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Inakupa furusa ya kumaliza matatizo uliyonayo wakati wa kupaua kwa nzia gharama,aina ya bati,rangi na ushauri wa mafundi zaidi ya watano tofauti wa ubora ule ule Hakuna tena gharama baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi!! Nina rotweiler jike nlikuwa natafta mtu mwenye rotweiler dume ile niweze kumpandisha huyu wa kwangu!! Nimempa chanjo zote!!
1 Reactions
5 Replies
898 Views
Wakuu nina hosted accounts nyingi sana naziuza kwa elfu kumi tu kwa kila accounts. Pia natoa ushauri na mbinu mbali mbali za kufanya upate dollari za kutosha nicheki 0765321403 au 0675968762 for...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Giving out 5pcs only. Watu wa5 wa kwanza kutuma PM Watajipatia 1TB External HDD kwa Bei ya Happy wkend Na hutoweza kuipata sehem yoyote ile kwa hiyo bei. Changamkia. Sio ya Kukosa. Bei...
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Natafuta mfugaji wa kuku anayeuza mayai ya kisasa kuanzia treyi 10, bei shillingi 6,000 kwa treyi. Muuzaji awe dodoma, kama unayo nicheki 0714112838. Thanks in advance
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu? Ninahitaji kukodi vitanda vya kulalia (godoro,mito,mashuka na mablanketi yake) ukubwa ni kuanzia futi 3X6,4X6,5X6 na 6X6. Pia hata kama una double deck unaweza kunijuza,vitanda...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Hop
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Nipo mwanza,nahitaji charger ya Samsung galaxy gear kwa bei yoyote
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna, alivyo pata maambukizi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habarini nahitaji kiti tajwa hapo juu wenye maduka ya fanirture stores tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kwa dalali yeyote ambae anaweza kunitafutia frem kubwa maeneo ya mwenge au mwananyamala hata sinza karibu na barabara ya lami. karibu inbox tupeane taarifa
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wandugu, Nina shida ya kununua mashine inayoweza kuprint id card zile ngumu za plastic kama ATM card, wapi naweza kupata na kwa bei gani? Na ningependa kupata kubwa inayoweza...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Salaam wadau Natafuta mtu anauza na kufunga vertical blinds hapa Dar.Kama humu yupo tuwasiliane namba 0689900000
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Nyumba imejengwa kisasa ina vyumba vtatu vya kulala (1master&2single) sitting room,dinning, Jiko,public toilet, ina uwanja mkubwa 20/25m,umeme unawaka ipo barabara ya mtaa Contact; 0656 698232
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom