Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana bodi Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida. Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki. Mtu ambaye yupo Singida na anaweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sofa ya watu 6 Mpya inauzwa bei nzuri, ni new model, bei ni 800,000/= maongezi yapo, imetumika miezi miwili tangu inunuliwe, anayeuza anahama kikazi hawezi safiri nayo kupunguza gharama. Iko...
1 Reactions
5 Replies
14K Views
Bought brand new in 2014 from Specialised bikie shop $1,150 Specialised bicycle, size 29, giant, 27shimano gears, front & rear disc brakes, lockable rockshock shock absorber, free foot pump &...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Kampuni ya uwakala wa ajira inauzwa,imesajiliwa na wizara ya kazi, alie interested ani pm
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Traeted timber 2*2 r.meter 2*4 r.meter 2*6 r.meter Tupo buguruni karibu sana Piga 0656-816616
0 Reactions
7 Replies
2K Views
pata bati za IT5,za mikunjo gauge28 na 30 zenye ubora wa hali ya juu,upana wa 107cm,98cm kwa bei ya kiwandani,unapelekwa bure,pia utapata fursa ya kupima ubora wa rangi,ubora wa bati,na ugumu wa...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Simu imetumika kwa wiki moja tu. Ina box na vifaa vingine vyote bei Ni 1,000,000 tu nitafute tuongee biashara 0656497469
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Habari,ninahitaji dalali aliye na uzoefu mkubwa na kazi yake lakini pia awe mtu mwenye connections nyingi. Nina nyumba ninazohitaji kuziuza haraka. Ni deal kubwa so please naomba nitafutwe na...
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Nyumba tatu za kupangisha zinauzwa. Nyumba ya kwanza ina apartments 7,kila apartment moja ikiwa na chumba na sebule yake. Ya pili ina vyumba vitano na sebule moja ya kushare. Ya tatu ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kipo buyun chanika kna ukubwa wa square mita 8637 hatimilik ipo umbal kutoka barabara ya lam n mitaa 700 Bei: 180mil nafas ya mazungumzo ipo kwa muhtaj wa kwel
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. pata Dak 550 tgo-tgo Sms 8000 Mb 800 siku 30 only Tsh 7000 2. Gb 4 kwa 30 days only 8000
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Wadau natafuta microscope kwa ajili ya masuala ya maabara za utambuzi wa vimelea/vijidudu vinavyosababisha magonjwa kwenye mwili wa binadamu. Aina ninayoitaka ni Olympus. Kama kuna mwenye nayo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HUAWEI ASCEND MATE 7 inauzwa bei tzs 550,000/= USED ONE MONTH Kwa taarifa zaidi 0653689968 Device Info Huawei Released Ascend Mate 7 Android Smartphone in September 2014 Networking Technology...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari ya kazi wana JF, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa. Mimi ni mtengenezaji wa Application za Android. Ninaweza kukutengenezea Android App kwaajili ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunatatengeneza na kudezaini fanicha za ndani kisasa za aina zote kama;-makabati,vitanda,meza n.k kwa bei poa kabisa.Tupo Tabata Segerea Mwisho,pia unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Simu/Whatsapp...
0 Reactions
3 Replies
25K Views
Nyumba inauzwa Ipo maeneo ya Mbezi makabe ukubwa wa uwanja ni 20 kwa 30 ina vyumba vitatu(master 1) Public toilet jiko na store Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa simu namba: 0656 135 500
2 Reactions
12 Replies
2K Views
habari za wakati huu ndugu wana jamii. ninahitaji kununua nyanya nyingi sana moja kwa moja kutoka shabani kisha ninasambaza kwa wafanyabiashara wadogowadogo wa huku singida mjini. soko tayari...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja cha ukubwa wa 30/25 kipo maeneo ya goba karibu na shule ya precious,kimezungushiwa ukuta tayari,umeme upo,mashimo ya choo tayari na yameishajengewa. Price milioni 22 ila maongezi yapo. Ofa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Kampuni ya SIMA Investments inapenda kuwajulisha kuwa tunauza na kusambaza mafuta bora ya kupikia ya alizeti (sunflower cooking oil) pamoja na nafaka kama vile mchele, maharagwe, choroko, kunde...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa ipo bunju masite Vyumba vitatu,masters kimoja 2.seating room 3.Dining 4.public Toilet 5.Kitchen 6.flame (3) outside 7.fance 8.sq 600 9.all document available Price 230m Call...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom