Nyumba tatu katika kiwanja kimoja zinauzwa kigamboni

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Nyumba tatu za kupangisha zinauzwa.
Nyumba ya kwanza ina apartments 7,kila apartment moja ikiwa na chumba na sebule yake.
Ya pili ina vyumba vitano na sebule moja ya kushare.
Ya tatu ina apartments 4 ikiwa kila apartment ina chumba na sebule yake.
Kiwanja kimepimwa na kina hati na ukubwa wa mita za mraba 1052.
Katika eneo kuna kisima cha maji safi.
Bei ni milioni 350 na maelewano yapo.
Angalia picha ukipenda piga 0656497469 tuongee zaidi
 

Attachments

  • CAM00851.jpg
    CAM00851.jpg
    141.1 KB · Views: 60
  • CAM00853.jpg
    CAM00853.jpg
    142.9 KB · Views: 54
  • CAM00859.jpg
    CAM00859.jpg
    106.3 KB · Views: 50
  • CAM00862.jpg
    CAM00862.jpg
    195.7 KB · Views: 49

Similar Discussions

Back
Top Bottom