Bundeskanzler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 215
- 49
habari za wakati huu ndugu wana jamii. ninahitaji kununua nyanya nyingi sana moja kwa moja kutoka shabani kisha ninasambaza kwa wafanyabiashara wadogowadogo wa huku singida mjini. soko tayari ninalo tena ni kubwa sana tu, tatizo ni wapi nitapata mali husika. naomba msaada kwa anayejua. kwa mkulima wa nyanya naomba anitumie pm. asanteni