Blogger Android App Kwaajili ya Blog yako

Kiparaa

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
384
111
SC20140529-155619.png
SC20140529-155642.png


Habari ya kazi wana JF, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa.

Mimi ni mtengenezaji wa Application za Android. Ninaweza kukutengenezea Android App kwaajili ya Blog yako. App hiyo itamrahisishia mtumiaji kupata habari yoyote unayoipost kwa haraka na urahisi zaidi kwani itamtaarifu kila uwekapo Post kwenye blog yako, pia itakusaidia kuongeza idadi ya Viewers/watembeleaji katika blog yako.

Kwa wenye uhItaji wanaweza kuni PM au kunipata kupitia 0763 55 36 58

Gharama za kukutengenezea App hii ni nafuu sana.

Hizi ni baadhi ya screen shots za moja ya kazi zangu.


 
Iko Poa Mkuu, Unajua Watz Bado Wengi Hatujajua Kutengeneza Pesa Kwa Teknolojia So Ishu Kama Hii Mtu Anaweza Kuichukulia Kama Utapeli Kumbe Wew Unania Ya Kweli Ya Kupiga Kazi.
 
Back
Top Bottom