Viwanja Vipya Kigamboni Dogwe Palm Mwongozo, NHC housing mita 100 toka NHC nani mita 200 Toka Baharini, square meter 750 adi 1600 Vimepimwa vyote kila sqm 1,ni tsh 22,000 tu. Ni kilometer 17 toka...
pikipiki Ipo na hali nzuri aina ya boxer 150 bei yake ni 1,000,000 {million moja} picha kwa whatsap nakutumia hapa nimeshindwa ku upload, nichek kwa 0713415537
Jamani Kiwanja chenye ukubwa wa Square meters 1000 na hati kinauzwa Gongo la mboto karibu na msikiti wa Markaz. Bei yake ni Sh. Milioni 30 na mazungumzo yapo.
Eneo linafaa kwa makazi au Biashara...
Kwa Sasa tuna
1.maeneo ya kimara,
-----------------------------------
Chumba master na sebule jiko,choo,car parking mna share.maji na umeme upo.bei Ni 200,000 kwa mwezi kwa miez 6.
Nyumba...
Full furnished,
Standby generator
Big sitting room
3 bed rooms
Near agha Khan masaki
Usd 5000
+255787688433
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Habari zenu wadau,
Mwenye uhitaji wa nyumba ya kupanga Dar, Gongo la mboto maeneo ya Mzambarauni inapatikana nyumba yenye vyumba viwili na sebule. Bei ni shilingi 70,000 kwa mwezi. Wahi sasa.
Kwa wale warembo nywele mpya kwa bei nafuu Mtu 1 anasuka kuanzia pic 5 had 7 na anaweza kurudia rudia. Pic 1 Tsh 14500. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255 652 971 495
Meza sita used zinauzwa, unaweza kuzitumia kwa ajili ya darasa la computer au matumizi mengineyo. ni meza imara sana top yake ni ya mninga na miguu yale ya chuma. bei ni sh. 80,000 tu kwa kila...
Wadau ninauza decoder ya dstv na dish lake kwa tsh 120,000. Kila kitu kipo vizur nmetumia mwaka mmoja tu. Remote,decoder vinafanya kaz vizuri.
Mi nipo tabata baracuda.
HEDIFONI ZA BOOM J8
Muundo wake
Hedifoni za Boom J8 zimeundwa kwa midundo ya viwango vya juu yaani 'advanced mega bass', muundo huu unaenda sambamba na ubora wa mawimbi ya sauti iliyochujwa...
Natafuta mfugaji wa kuku anayeuza mayai ya kisasa kuanzia treyi 10, bei shillingi 6,000 kwa treyi. Muuzaji awe dodoma, kama unayo nicheki 0714112838. Thanks in advance
Jipatie offer ya kumiliki mtandao wako wa kijamii kama facebook au jamiiforums kwa gharama ya TZS 150,000/-
Unapata Design
Hosting ya Mwaka Mmoja
Domain name
Tuwasiliane hapa 0679732975...
Nimeishiwa mafuta ya safi cooker. Wakala wangu wa Mbagala kila nikimpigia ananiambia baada ya wiki 2 mafuta yatakuwa yamefika. Naona ni mwez umepita sasa, sion hata dalili.
Naomba kama waweza...
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
Habari zenu wadau nina diamond buyer mwenye nazo au anafaham mtu yoyote ambaye anauza diamonds kwa sifa zifuatazo
Goodguality
Kuanzia 4 carats japo zngne zinapokelewa pia
Goodprice
Good...
Kiwanja kina ukubwa wa square mita 800 pia kina nyumba iliyoishia kweny lenta kipo mita 600 kutoka barabara ya lami
Bei ;35 mil mazungumzo yapo kdgo
Contact;0656698232
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.