Kampuni ya SIMA Investments inapenda kuwajulisha kuwa tunauza na kusambaza mafuta bora ya kupikia ya alizeti (sunflower cooking oil) pamoja na nafaka kama vile mchele, maharagwe, choroko, kunde, mbaazi, dengu, uwele, mtama, ngano, n.k kwa bei nafuu zaidi. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia cerealsgrocery@outlook.com