Nahitaji Supplier wa kuku wa kienyeji kutoka Singida

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,341
13,021
Habari wana bodi

Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.

Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.

Mtu ambaye yupo Singida na anaweza kufanya hiyo biashara naomba ani PM ili tuweze kufanya majadiliano ya biashara.

Mimi nipo Dar.

Asante.
 
Mimi naishi kibaha na naweza kupata kuku hao hapa kwenye shamba langu au Kijiji flan Morogoro!! Majogoo 16000 na mitetea 12000!

Duc In Altum.
 
Mimi naishi kibaha na naweza kupata kuku hao hapa kwenye shamba langu au Kijiji flan Morogoro!! Majogoo 16000 na mitetea 12000!

Duc In Altum.
kuku wa singida wana ladha ya kipekee,hao wa moro mh,,,
labda utafanikisha mkuu kuchukua tenda,lakini sidhani
 
kuku wa singida wana ladha ya kipekee,hao wa moro mh,,,
labda utafanikisha mkuu kuchukua tenda,lakini sidhani
Sikujua kama kuku wa aina moja wakitokea maeneo tofauti wanakuwa na ladha tofauti pia!!!!!!

Duc In Altum.
 
Back
Top Bottom