House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Makabe

nulija

New Member
Jul 12, 2014
4
2
Nyumba inauzwa Ipo maeneo ya Mbezi makabe
ukubwa wa uwanja ni 20 kwa 30
ina vyumba vitatu(master 1)
Public toilet
jiko na store

Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa simu namba: 0656 135 500
1462952905985.jpg
1462952977652.jpg
 
Nyumba inauzwa Ipo maeneo ya Mbezi makabe
ukubwa wa uwanja ni 20 kwa 30
ina vyumba vitatu(master 1)
Public toilet
jiko na store

Kwa anaye hitaji tuwasiliane kwa simu namba: 0656 135 500View attachment 346579View attachment 346580

Niuie radhi mkuu public toilet itakuwaje ndani ya nyumba ni family house tena ni self contained? Neno sahihi ingekuwa family toilet.
 
Niuie radhi mkuu public toilet itakuwaje ndani ya nyumba ni family house tena ni self contained? Neno sahihi ingekuwa family toilet.
Wakija wageni wengine kama marafiki nk hawaruhusiwi kutumia hiyo unayoita family toilet?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom