Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba

Tarime one

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
2,246
1,731
Kiwanja cha ukubwa wa 30/25 kipo maeneo ya goba karibu na shule ya precious,kimezungushiwa ukuta tayari,umeme upo,mashimo ya choo tayari na yameishajengewa.
Price milioni 22 ila maongezi yapo.
Ofa iliyopo maongezi ya kulipa kwa awamu pia yapo.
Nicheck kwa no hizi 0753282776
0652622388.
 
VIP 11 M. SIUNAJUA HALI MBAYA SASA
 
Maongezi yapo ila haitafika hiyo mkuu,unaweza kunicheck kwa hizo no.
 
Mkuu nilipata breakdown nikapoteza simu,njoo tuongeee kama bado uko interested
 
Picha zipo labda kama una whatsapp nikutumie .
Mkuu, kwanini unawaitia watu whatsapp kuwapa picha za kiwanja? hicho kiwanja ni cha kwako au wewe ni dalali? kwanini hutaki kuweka picha hadharani? hudhani kutotaka kuweka picha hadharani kunaweza watia hofu wanunuaji?
 
Kiwanja ni changu,nimeshindwa kuapload huku ila ngoja nijaribu tena mkuu
 
Ngoja niweke picha
1461237498394.jpg
1461237515454.jpg
1461237544642.jpg
 
Hapo katikati ni banda jamaa wa kanisa wameomba kutumia eneo kwa muda.
 
Kiwanja kilivyo na bei uliyoitaja napatwa na shaka. Apo ing'ekuwa million 30, ning'ekuelewa. Goba viwanja vipo bondeni 20x30 million 20 na zaidi.
 
Mkuu mbona picha kama za kuibia ibia tu. Weka picha zinazoonesha kiwanja clearly kurahisisha watu kufanya maamuzi.
Uwezo wa cm zetu mkuu,pia hilo banda la kanisa hapo katikati lilileta shida,but kiwanja kipo wazi kukiona muda wowote ukajiridhisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom