Nahitaji dalali mwenye uzoefu na connection kubwa

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Habari,ninahitaji dalali aliye na uzoefu mkubwa na kazi yake lakini pia awe mtu mwenye connections nyingi. Nina nyumba ninazohitaji kuziuza haraka.
Ni deal kubwa so please naomba nitafutwe na dalali anayeweza kufanya biashara zinazopita milioni mia mbili kwenda juu.
Nitafute kwa 0656497469
 
Uko mkoa gan mkuu.
 
Back
Top Bottom